# ujumbe wa kuunganisha Yesu na wanafunzi wake kisha wakatumia mashua kuvuka ziwa Genasareti. wanafunzi wakajifunza megi kuhusu nguvu ya Yesu kupitia dhoruba iliyotokea. # Sasa ilitokea Neno hili limetumika hapa kuonyesha alama wa mwanzo wa kipande kipya cha kile kilichotekea. # ziwa Hili ni ziwa Genesareti ambalo liliitwa ziwa la Galilaya. # walipoanza kuondoka "walipotoka" # akalala usingizi "Alilala" # dhoruba kali yenye upepo ikaja "upepo wenye nguvu ghafla ukaanza kupiga"