sw_tn/luk/08/07.md

546 B

taarifa unganishi

Yesu anamaliza kuwaambia mfano makutano

zikasongwa

Miti ya miiba ikachukua madini, maji, na mwanga, kwa hiyo miche ya mkulima haikukua vizuri.

zikazaa mazao

"Kuzaa mavuno" au "Kuzaa mbegu zaidi"

Yeyote mwenye masikio ya kusikia na asikie.

inaweza kuwa ni kiasili sana kwa baadhi ya lugha kutumia nafsi ya pili: "Wewe mwenye sikio la kusikia, sikia."

Yeyotemwenye sikio la kusikia

" Anayeweza kusikia" au "Yeyote anayenisikia mimi"

na asikie

"Na asikilize vizuri" au "na awe makini kwa kile ninachokisema"