# taarifa unganishi Yesu anamaliza kuwaambia mfano makutano # zikasongwa Miti ya miiba ikachukua madini, maji, na mwanga, kwa hiyo miche ya mkulima haikukua vizuri. # zikazaa mazao "Kuzaa mavuno" au "Kuzaa mbegu zaidi" # Yeyote mwenye masikio ya kusikia na asikie. inaweza kuwa ni kiasili sana kwa baadhi ya lugha kutumia nafsi ya pili: "Wewe mwenye sikio la kusikia, sikia." # Yeyotemwenye sikio la kusikia " Anayeweza kusikia" au "Yeyote anayenisikia mimi" # na asikie "Na asikilize vizuri" au "na awe makini kwa kile ninachokisema"