sw_tn/luk/08/07.md

24 lines
546 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# taarifa unganishi
Yesu anamaliza kuwaambia mfano makutano
# zikasongwa
Miti ya miiba ikachukua madini, maji, na mwanga, kwa hiyo miche ya mkulima haikukua vizuri.
# zikazaa mazao
"Kuzaa mavuno" au "Kuzaa mbegu zaidi"
# Yeyote mwenye masikio ya kusikia na asikie.
inaweza kuwa ni kiasili sana kwa baadhi ya lugha kutumia nafsi ya pili: "Wewe mwenye sikio la kusikia, sikia."
# Yeyotemwenye sikio la kusikia
" Anayeweza kusikia" au "Yeyote anayenisikia mimi"
# na asikie
"Na asikilize vizuri" au "na awe makini kwa kile ninachokisema"