sw_tn/luk/08/04.md

29 lines
448 B
Markdown

# Taarifa ya yumla:
Yesu aliwaambia mfano wa mpandaji kwa makutano. Alieleza maana ya
ke kwa wanafunzi wake.
# Sasa
Hili neno linaonyesha mwanzo wa kitendo katika habari.
# mpandaji alienda kupanda mbegu
"mkiulima alienda kupanda baadhi ya mbegu shambani"
# zikakanyagwa chini ya miguu
"Zilikanyagwa pia mara zilipoota"
# wakazila
"Walizila zote"
# Zilipooza
"Miche ikakauka na kupooza"
# hazikuwa na unyevunyevu
"ardhi ilikuwa kavu"