sw_tn/luk/08/04.md

448 B

Taarifa ya yumla:

Yesu aliwaambia mfano wa mpandaji kwa makutano. Alieleza maana ya ke kwa wanafunzi wake.

Sasa

Hili neno linaonyesha mwanzo wa kitendo katika habari.

mpandaji alienda kupanda mbegu

"mkiulima alienda kupanda baadhi ya mbegu shambani"

zikakanyagwa chini ya miguu

"Zilikanyagwa pia mara zilipoota"

wakazila

"Walizila zote"

Zilipooza

"Miche ikakauka na kupooza"

hazikuwa na unyevunyevu

"ardhi ilikuwa kavu"