# Taarifa ya yumla: Yesu aliwaambia mfano wa mpandaji kwa makutano. Alieleza maana ya ke kwa wanafunzi wake. # Sasa Hili neno linaonyesha mwanzo wa kitendo katika habari. # mpandaji alienda kupanda mbegu "mkiulima alienda kupanda baadhi ya mbegu shambani" # zikakanyagwa chini ya miguu "Zilikanyagwa pia mara zilipoota" # wakazila "Walizila zote" # Zilipooza "Miche ikakauka na kupooza" # hazikuwa na unyevunyevu "ardhi ilikuwa kavu"