sw_tn/luk/07/48.md

24 lines
860 B
Markdown

# Ndipo akamwambia
"ndipo akamwabia mwanamke" (UDB)
# Dhambi zako zimesamehewa
"umesamehewa." Hii inaweza ikasemwa katika kauli tendaji NI: "Nasamehe dhambi zako"
# kaa pamoja
"kaa pamoja kuzunguka meza" au "kula pamoja"
# Nani huyo hata anasamehe dhambi
Viongizi wa dini walijua kwamba Mungu tu anayesamehe dhambi, na hawakuamini kwamba Yesu alikuwa Mungu, Swali hili huenda lilikusudiwa kuwa tuhuma. NI: "Huyu mtu anafikiri kuwa yeye ni nani?" Ni Mungu pekee anaye samehe dhambi!" au "Kwanini huyu mtu anajifanya kuwa Mungu awezaye kusamehe dhambi?"
# Imani yako imekuponya wewe
"Kwa sababu ya imani, umeokoka" "imani" inaweza ikatazamwa kama kitendo. NI: "kwa sababu umeamini, umeokoka"
# Nenda katika amani
Hii ni namna ya kusema kwaheri wakati huohuo unatoa baraka. NI: "Unapokwenda, usiwe na wasi wasi kabisa" au "Mungu akupe amani unapoenda"