sw_tn/luk/07/48.md

860 B

Ndipo akamwambia

"ndipo akamwabia mwanamke" (UDB)

Dhambi zako zimesamehewa

"umesamehewa." Hii inaweza ikasemwa katika kauli tendaji NI: "Nasamehe dhambi zako"

kaa pamoja

"kaa pamoja kuzunguka meza" au "kula pamoja"

Nani huyo hata anasamehe dhambi

Viongizi wa dini walijua kwamba Mungu tu anayesamehe dhambi, na hawakuamini kwamba Yesu alikuwa Mungu, Swali hili huenda lilikusudiwa kuwa tuhuma. NI: "Huyu mtu anafikiri kuwa yeye ni nani?" Ni Mungu pekee anaye samehe dhambi!" au "Kwanini huyu mtu anajifanya kuwa Mungu awezaye kusamehe dhambi?"

Imani yako imekuponya wewe

"Kwa sababu ya imani, umeokoka" "imani" inaweza ikatazamwa kama kitendo. NI: "kwa sababu umeamini, umeokoka"

Nenda katika amani

Hii ni namna ya kusema kwaheri wakati huohuo unatoa baraka. NI: "Unapokwenda, usiwe na wasi wasi kabisa" au "Mungu akupe amani unapoenda"