sw_tn/luk/07/46.md

1.0 KiB

Hukufanya ... lakini yeye

Yesu anaendelea kupinga wema hafifu wa Simoni na kitendo cha mwanamke

tia kichwani pangu mafuta

"paka kichwa changu kwa mafuta" Hii ilikuwa ni desturi ya kumkaribisha mgeni aliyeheshimika. NI: "nikaribisha kwa kunitia mafuta kichwani"

tia mafuta miguu yangu

Mwanamke alimweshimu sana Yesu kwa kufanya hivi. Alitoa kielelezo cha unyenyekevu kwa kutia mafuta miguuni badala ya kichwani.

Nawaambia

Hii inasisitiza umhimu wa sentensi inayofuata.

dhambi zake, ambazo zilizo nyingi, zimesamehewa

Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. NI: "Mungu kasamehe dhambi zake nyingi"

yeye alipenda zaidi

upendo wake ulikuwa ulikuwa ushahidi kwamba dhambi zake zimesamehewa. Baadhi ya lugha zinahitaji kitu cha "Upendo" Kusema. "alipenda zaidi ambaye amemsamehe" au " alimpenda sana Mungu."

Lakini aliyesamehewa kidogo

"Mtu yeyote anasamehewa vitu vichache." Katika sentensi hii Yesu anaonyesha kanuni za jumla. Hata hivyo, Simon alikuwa anatarajia kuelewa kuwa Yesu anazungumzia kuwa Simoni ameonesha upendo kidogo.