# Hukufanya ... lakini yeye Yesu anaendelea kupinga wema hafifu wa Simoni na kitendo cha mwanamke # tia kichwani pangu mafuta "paka kichwa changu kwa mafuta" Hii ilikuwa ni desturi ya kumkaribisha mgeni aliyeheshimika. NI: "nikaribisha kwa kunitia mafuta kichwani" # tia mafuta miguu yangu Mwanamke alimweshimu sana Yesu kwa kufanya hivi. Alitoa kielelezo cha unyenyekevu kwa kutia mafuta miguuni badala ya kichwani. # Nawaambia Hii inasisitiza umhimu wa sentensi inayofuata. # dhambi zake, ambazo zilizo nyingi, zimesamehewa Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. NI: "Mungu kasamehe dhambi zake nyingi" # yeye alipenda zaidi upendo wake ulikuwa ulikuwa ushahidi kwamba dhambi zake zimesamehewa. Baadhi ya lugha zinahitaji kitu cha "Upendo" Kusema. "alipenda zaidi ambaye amemsamehe" au " alimpenda sana Mungu." # Lakini aliyesamehewa kidogo "Mtu yeyote anasamehewa vitu vichache." Katika sentensi hii Yesu anaonyesha kanuni za jumla. Hata hivyo, Simon alikuwa anatarajia kuelewa kuwa Yesu anazungumzia kuwa Simoni ameonesha upendo kidogo.