sw_tn/luk/07/46.md

28 lines
1.0 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Hukufanya ... lakini yeye
Yesu anaendelea kupinga wema hafifu wa Simoni na kitendo cha mwanamke
# tia kichwani pangu mafuta
"paka kichwa changu kwa mafuta" Hii ilikuwa ni desturi ya kumkaribisha mgeni aliyeheshimika. NI: "nikaribisha kwa kunitia mafuta kichwani"
# tia mafuta miguu yangu
Mwanamke alimweshimu sana Yesu kwa kufanya hivi. Alitoa kielelezo cha unyenyekevu kwa kutia mafuta miguuni badala ya kichwani.
# Nawaambia
Hii inasisitiza umhimu wa sentensi inayofuata.
# dhambi zake, ambazo zilizo nyingi, zimesamehewa
Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. NI: "Mungu kasamehe dhambi zake nyingi"
# yeye alipenda zaidi
upendo wake ulikuwa ulikuwa ushahidi kwamba dhambi zake zimesamehewa. Baadhi ya lugha zinahitaji kitu cha "Upendo" Kusema. "alipenda zaidi ambaye amemsamehe" au " alimpenda sana Mungu."
# Lakini aliyesamehewa kidogo
"Mtu yeyote anasamehewa vitu vichache." Katika sentensi hii Yesu anaonyesha kanuni za jumla. Hata hivyo, Simon alikuwa anatarajia kuelewa kuwa Yesu anazungumzia kuwa Simoni ameonesha upendo kidogo.