sw_tn/luk/07/41.md

28 lines
514 B
Markdown

# Taarifa kwa Ujumla:
Kusisitiza nini anaenda kumwambia Simoni Farisayo, Yesu alimwambia hadithi.
# Kulikuwa na wadaiwa wawili kwa mkopeshaji mmoja
"mkopeshaji fulani alikuwa na wadeni wawili"
# dinari mia tano
"posho ya siku 500. " Dinari" ni wingi wa dinarius." Dinari ilikuwa ni sarafu ya fedha.
# hamsini
"posho ya siku 50"
# aliwasamehe wote
"aliwasamehe madeni yao" au "aliyafuta madeni yao"
# Nadhani
Simoni alikuwa na tahadhari ya jibu hili. NI: "Huenda"
# Umehukumu kwa usahihi
"Uko sahihi"