# Taarifa kwa Ujumla: Kusisitiza nini anaenda kumwambia Simoni Farisayo, Yesu alimwambia hadithi. # Kulikuwa na wadaiwa wawili kwa mkopeshaji mmoja "mkopeshaji fulani alikuwa na wadeni wawili" # dinari mia tano "posho ya siku 500. " Dinari" ni wingi wa dinarius." Dinari ilikuwa ni sarafu ya fedha. # hamsini "posho ya siku 50" # aliwasamehe wote "aliwasamehe madeni yao" au "aliyafuta madeni yao" # Nadhani Simoni alikuwa na tahadhari ya jibu hili. NI: "Huenda" # Umehukumu kwa usahihi "Uko sahihi"