sw_tn/luk/07/41.md

514 B

Taarifa kwa Ujumla:

Kusisitiza nini anaenda kumwambia Simoni Farisayo, Yesu alimwambia hadithi.

Kulikuwa na wadaiwa wawili kwa mkopeshaji mmoja

"mkopeshaji fulani alikuwa na wadeni wawili"

dinari mia tano

"posho ya siku 500. " Dinari" ni wingi wa dinarius." Dinari ilikuwa ni sarafu ya fedha.

hamsini

"posho ya siku 50"

aliwasamehe wote

"aliwasamehe madeni yao" au "aliyafuta madeni yao"

Nadhani

Simoni alikuwa na tahadhari ya jibu hili. NI: "Huenda"

Umehukumu kwa usahihi

"Uko sahihi"