sw_tn/luk/07/39.md

16 lines
549 B
Markdown

# akawaza mwenyewe akisema
"alisema yeye mwenyewe"
# Kama huyu mtu angekuwa nabii, angejua ... mdhambi
Farisayo aliwaza kuwa Yesu hakuwa nabii kwa sababu amemruhusu mwanamke mwenye dhambi kumgusa. NI: "Inaonekana Yesu siyo nabii, sababu nabii angejua kwamba mwanamke anayemgusa ni mwenye dhambi."
# ni mdhambi
Simoni kimakosa alihisi kwamba nabii asingeruhusu kuguswa. Ukweli huu ungeongezwa. NI: "ni mdhambi na asingeruhusiwa kugusa"
# Simoni
Hili lilikuwa ni jina la Farisayo aliyemwalika Yesu katika nyumba yake. Huyu hakuwa Simoni Petro.