# akawaza mwenyewe akisema "alisema yeye mwenyewe" # Kama huyu mtu angekuwa nabii, angejua ... mdhambi Farisayo aliwaza kuwa Yesu hakuwa nabii kwa sababu amemruhusu mwanamke mwenye dhambi kumgusa. NI: "Inaonekana Yesu siyo nabii, sababu nabii angejua kwamba mwanamke anayemgusa ni mwenye dhambi." # ni mdhambi Simoni kimakosa alihisi kwamba nabii asingeruhusu kuguswa. Ukweli huu ungeongezwa. NI: "ni mdhambi na asingeruhusiwa kugusa" # Simoni Hili lilikuwa ni jina la Farisayo aliyemwalika Yesu katika nyumba yake. Huyu hakuwa Simoni Petro.