sw_tn/luk/07/39.md

549 B

akawaza mwenyewe akisema

"alisema yeye mwenyewe"

Kama huyu mtu angekuwa nabii, angejua ... mdhambi

Farisayo aliwaza kuwa Yesu hakuwa nabii kwa sababu amemruhusu mwanamke mwenye dhambi kumgusa. NI: "Inaonekana Yesu siyo nabii, sababu nabii angejua kwamba mwanamke anayemgusa ni mwenye dhambi."

ni mdhambi

Simoni kimakosa alihisi kwamba nabii asingeruhusu kuguswa. Ukweli huu ungeongezwa. NI: "ni mdhambi na asingeruhusiwa kugusa"

Simoni

Hili lilikuwa ni jina la Farisayo aliyemwalika Yesu katika nyumba yake. Huyu hakuwa Simoni Petro.