sw_tn/luk/07/21.md

32 lines
628 B
Markdown

# Kwa saa hiyo
"kwa wakati huo"
# kutoka kwa roho wachafu
Itakuwa msaada kusema tena uponyaji. NI: "aliwaponya na roho chafu"au "na aliwaweka huru watu kutoka katika roho chafu"
# aliwaambia
"aliwaambia wajumbe wa Yohana" au "alisema kwa wajumbe aliowatuma Yohana"
# Toa taarifa kwa Yohana
"Mwambie Yohana"
# watu wahitaji
"watu masikini"
# Mtu asiyeacha kuniamini kwa sababu ya matendo yangu amebarikiwa
Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. NI: "Mungu atambariki mtu ambaye haachi kuamini kwake sababu ya matendo yake"
# Mtu
"Watu" au "yeyote" Huyu si mtu maalumu.
# usisitishe
maana mbili hasi "Hendelea"