# Kwa saa hiyo "kwa wakati huo" # kutoka kwa roho wachafu Itakuwa msaada kusema tena uponyaji. NI: "aliwaponya na roho chafu"au "na aliwaweka huru watu kutoka katika roho chafu" # aliwaambia "aliwaambia wajumbe wa Yohana" au "alisema kwa wajumbe aliowatuma Yohana" # Toa taarifa kwa Yohana "Mwambie Yohana" # watu wahitaji "watu masikini" # Mtu asiyeacha kuniamini kwa sababu ya matendo yangu amebarikiwa Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. NI: "Mungu atambariki mtu ambaye haachi kuamini kwake sababu ya matendo yake" # Mtu "Watu" au "yeyote" Huyu si mtu maalumu. # usisitishe maana mbili hasi "Hendelea"