sw_tn/luk/07/21.md

628 B

Kwa saa hiyo

"kwa wakati huo"

kutoka kwa roho wachafu

Itakuwa msaada kusema tena uponyaji. NI: "aliwaponya na roho chafu"au "na aliwaweka huru watu kutoka katika roho chafu"

aliwaambia

"aliwaambia wajumbe wa Yohana" au "alisema kwa wajumbe aliowatuma Yohana"

Toa taarifa kwa Yohana

"Mwambie Yohana"

watu wahitaji

"watu masikini"

Mtu asiyeacha kuniamini kwa sababu ya matendo yangu amebarikiwa

Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. NI: "Mungu atambariki mtu ambaye haachi kuamini kwake sababu ya matendo yake"

Mtu

"Watu" au "yeyote" Huyu si mtu maalumu.

usisitishe

maana mbili hasi "Hendelea"