sw_tn/luk/07/01.md

361 B

Taarifa kwa ujumla

Yesu anaingia Kapernaumu pale alipomponya mtumishi wa akida.

watu wakiwa wanasikiliza

Nahau "wakati watu wanasikiliza" anasisitiza anataka watu wasikie anchosema. NI: "ni kwa watu ambao walikuwa wanamsikiliza" au "kwa watu waliohudhuria" au "kwaajili ya watu kusikia"

Aliingia Kapernaumu

Hii inaanzisha tukio jipya katika simulizi