# Taarifa kwa ujumla Yesu anaingia Kapernaumu pale alipomponya mtumishi wa akida. # watu wakiwa wanasikiliza Nahau "wakati watu wanasikiliza" anasisitiza anataka watu wasikie anchosema. NI: "ni kwa watu ambao walikuwa wanamsikiliza" au "kwa watu waliohudhuria" au "kwaajili ya watu kusikia" # Aliingia Kapernaumu Hii inaanzisha tukio jipya katika simulizi