sw_tn/luk/06/49.md

36 lines
734 B
Markdown

# Taarifa kwa Ujumla:
Yesu anamlinganisha mtu asikiaye hatii mafundisho na mtu ambaye kajenga nyumba bila msingi hivyo itaanguka wakati wa mafuriko.
# lakini mtu
"Lakini" inaonesha utofauti mkubwa kwa mtu aliyetangulia ambaye alijenga kwenye msingi.
# juu ya ardhi pasipo msingi
Baadhi ya tamaduni nymba yenye msingi ni imara. Taarifa za kuongeza zinaweza zikawa msaada NI: "lakini hakuchimba chini na kujenga kwanza msingi"
# Msingi
"msingi" au "msaada imara"
# mafuriko ya maji
"maji -yanayotembea kwa kasi"
# Maporomoka
"maji yanakwenda kwa kasi" au "mto"
# tiririka kinyume
"iliyogonga"
# poromoka
"anguka chini" au "ikagawanyika"
# kifusi cha nyumba hiyo kilikuwa kamili
"nyumba hiyo ilikuwa imeharibika kabisa"