# Taarifa kwa Ujumla: Yesu anamlinganisha mtu asikiaye hatii mafundisho na mtu ambaye kajenga nyumba bila msingi hivyo itaanguka wakati wa mafuriko. # lakini mtu "Lakini" inaonesha utofauti mkubwa kwa mtu aliyetangulia ambaye alijenga kwenye msingi. # juu ya ardhi pasipo msingi Baadhi ya tamaduni nymba yenye msingi ni imara. Taarifa za kuongeza zinaweza zikawa msaada NI: "lakini hakuchimba chini na kujenga kwanza msingi" # Msingi "msingi" au "msaada imara" # mafuriko ya maji "maji -yanayotembea kwa kasi" # Maporomoka "maji yanakwenda kwa kasi" au "mto" # tiririka kinyume "iliyogonga" # poromoka "anguka chini" au "ikagawanyika" # kifusi cha nyumba hiyo kilikuwa kamili "nyumba hiyo ilikuwa imeharibika kabisa"