sw_tn/luk/06/49.md

734 B

Taarifa kwa Ujumla:

Yesu anamlinganisha mtu asikiaye hatii mafundisho na mtu ambaye kajenga nyumba bila msingi hivyo itaanguka wakati wa mafuriko.

lakini mtu

"Lakini" inaonesha utofauti mkubwa kwa mtu aliyetangulia ambaye alijenga kwenye msingi.

juu ya ardhi pasipo msingi

Baadhi ya tamaduni nymba yenye msingi ni imara. Taarifa za kuongeza zinaweza zikawa msaada NI: "lakini hakuchimba chini na kujenga kwanza msingi"

Msingi

"msingi" au "msaada imara"

mafuriko ya maji

"maji -yanayotembea kwa kasi"

Maporomoka

"maji yanakwenda kwa kasi" au "mto"

tiririka kinyume

"iliyogonga"

poromoka

"anguka chini" au "ikagawanyika"

kifusi cha nyumba hiyo kilikuwa kamili

"nyumba hiyo ilikuwa imeharibika kabisa"