sw_tn/luk/06/43.md

692 B

Taarifa kwa Ujumla:

watu wanaweza wakasema kama mti ni mzuri au mbaya, na ni aina gani ya mti, kwa matunda yake unayozaa. Yesu anatumia hii kama sitiari isiyo elezewa - tunajua mtu wa aina gani kwa ya kuona mtendo yao.

kwa kuwa ipo

"sababu ipo" Hii inaashiria kwamba kinachofuata ni sababu ni sababu ya kwanini hatupaswi kuwahukumu ndugu zetu

mti mzuri

mti wenye afya

haribika

"liooza" au "baya" au "siofaa"

Kila mti hujulikana

watu hutambua aina ya mti kwa matunda yake unayozaa. Hii inaweza kusemwa kwa kauli tendaji. NI: "watu wanajua aina ya mti" au "watu wanatambua mti"

Mchongoma

Mmea au kichaka chenye miiba

waridi mwitu

mzabibu au kichaka kilicho na miiba