# Taarifa kwa Ujumla: watu wanaweza wakasema kama mti ni mzuri au mbaya, na ni aina gani ya mti, kwa matunda yake unayozaa. Yesu anatumia hii kama sitiari isiyo elezewa - tunajua mtu wa aina gani kwa ya kuona mtendo yao. # kwa kuwa ipo "sababu ipo" Hii inaashiria kwamba kinachofuata ni sababu ni sababu ya kwanini hatupaswi kuwahukumu ndugu zetu # mti mzuri mti wenye afya # haribika "liooza" au "baya" au "siofaa" # Kila mti hujulikana watu hutambua aina ya mti kwa matunda yake unayozaa. Hii inaweza kusemwa kwa kauli tendaji. NI: "watu wanajua aina ya mti" au "watu wanatambua mti" # Mchongoma Mmea au kichaka chenye miiba # waridi mwitu mzabibu au kichaka kilicho na miiba