sw_tn/luk/06/39.md

32 lines
1.2 KiB
Markdown

# Sentensi Unganishi
Yesu anahusisha baadhi ya mifano kujenga hoja yake.
# mtu kipofu anaweza kumuongoza kipofu mwingine?
Yesu alitumia swali ili kupata watu wa kufikiri kitu ambacho tayari wanajua. Hii inaweza kuandikwa kama sentensi. NI: "Mtu kipofu hawezi kumuongoza mtu mwingine kipofu.
# mtu kipofu
mtu ambaye ni "kipofu" ni sitiari kwa mtu ambaye hajafundishwa kama mwanafunzi.
# Ikiwa alifanya
Baadhi ya lugha zinaweza kupendelea, "kama mmoja alifanya" Hii ni hali upuuzi kwamba haiwezi kabisa kutokea.
# wote wataangukia shimoni, je hawawezi?
Hii inaweza kuandikwa kama sentensi. NI: wawili wote wataangukia shimoni"
# Mwanafunzi siyo mkubwa kuliko mwalimu mwalimu wake
"Mwanafunzi hawezi kumzidi mwalimu wake." Maana zinazowezekana ni 1) "Mwanafunzi hana maarifa kuliko mwalimu wake" au 2) Mwanafunzi hana mamlaka kuliko mwalimu"
# Mwanafunzi hawi mkubwa kuliko mwalimu wake
Hii inaweza kumaanisha kuwa 1)"mwanafunzi hawezi kuwa na ufahamu mkubwa kuliko mwalimu "au 2) " Mwanafunzi hana mamlaka zaidi ya mwalimu ."Mwanafunzi hawezi kumzidi mwalimu."
# kila mmoja akishamaliza kufundishwa
"Kila mwanafunzi aliyefundishwa vizuri" au "kila mwanafunzi ambaye amejazwa mafundisho na mwalimu."