# Sentensi Unganishi Yesu anahusisha baadhi ya mifano kujenga hoja yake. # mtu kipofu anaweza kumuongoza kipofu mwingine? Yesu alitumia swali ili kupata watu wa kufikiri kitu ambacho tayari wanajua. Hii inaweza kuandikwa kama sentensi. NI: "Mtu kipofu hawezi kumuongoza mtu mwingine kipofu. # mtu kipofu mtu ambaye ni "kipofu" ni sitiari kwa mtu ambaye hajafundishwa kama mwanafunzi. # Ikiwa alifanya Baadhi ya lugha zinaweza kupendelea, "kama mmoja alifanya" Hii ni hali upuuzi kwamba haiwezi kabisa kutokea. # wote wataangukia shimoni, je hawawezi? Hii inaweza kuandikwa kama sentensi. NI: wawili wote wataangukia shimoni" # Mwanafunzi siyo mkubwa kuliko mwalimu mwalimu wake "Mwanafunzi hawezi kumzidi mwalimu wake." Maana zinazowezekana ni 1) "Mwanafunzi hana maarifa kuliko mwalimu wake" au 2) Mwanafunzi hana mamlaka kuliko mwalimu" # Mwanafunzi hawi mkubwa kuliko mwalimu wake Hii inaweza kumaanisha kuwa 1)"mwanafunzi hawezi kuwa na ufahamu mkubwa kuliko mwalimu "au 2) " Mwanafunzi hana mamlaka zaidi ya mwalimu ."Mwanafunzi hawezi kumzidi mwalimu." # kila mmoja akishamaliza kufundishwa "Kila mwanafunzi aliyefundishwa vizuri" au "kila mwanafunzi ambaye amejazwa mafundisho na mwalimu."