sw_tn/luk/06/39.md

1.2 KiB

Sentensi Unganishi

Yesu anahusisha baadhi ya mifano kujenga hoja yake.

mtu kipofu anaweza kumuongoza kipofu mwingine?

Yesu alitumia swali ili kupata watu wa kufikiri kitu ambacho tayari wanajua. Hii inaweza kuandikwa kama sentensi. NI: "Mtu kipofu hawezi kumuongoza mtu mwingine kipofu.

mtu kipofu

mtu ambaye ni "kipofu" ni sitiari kwa mtu ambaye hajafundishwa kama mwanafunzi.

Ikiwa alifanya

Baadhi ya lugha zinaweza kupendelea, "kama mmoja alifanya" Hii ni hali upuuzi kwamba haiwezi kabisa kutokea.

wote wataangukia shimoni, je hawawezi?

Hii inaweza kuandikwa kama sentensi. NI: wawili wote wataangukia shimoni"

Mwanafunzi siyo mkubwa kuliko mwalimu mwalimu wake

"Mwanafunzi hawezi kumzidi mwalimu wake." Maana zinazowezekana ni 1) "Mwanafunzi hana maarifa kuliko mwalimu wake" au 2) Mwanafunzi hana mamlaka kuliko mwalimu"

Mwanafunzi hawi mkubwa kuliko mwalimu wake

Hii inaweza kumaanisha kuwa 1)"mwanafunzi hawezi kuwa na ufahamu mkubwa kuliko mwalimu "au 2) " Mwanafunzi hana mamlaka zaidi ya mwalimu ."Mwanafunzi hawezi kumzidi mwalimu."

kila mmoja akishamaliza kufundishwa

"Kila mwanafunzi aliyefundishwa vizuri" au "kila mwanafunzi ambaye amejazwa mafundisho na mwalimu."