sw_tn/luk/06/37.md

538 B

Msihukumu

"Msihukumu watu" au "usimkosoe mtu"

na wewe

"na kama matokeo yako"

hamtahukumiwa

Yesu hakusema ambao wasingehukumu. Inawezekana maana ni 1) "Mungu hatakuhukumu wewe" au 2) "hakuna wa kukuhukumu wewe."

Msishutumu

"Msishutumu watu"

Hamtashutumiwa

Yesu hakusema ambaye angehukumu. inawezekana inamaanisha 1) "Mungu hatakushutumu wewe" au 2) "hakuna hata mmoja atakaye washutumu."

Nanyi mtasamehewa

Yesu hakusema ambaye angesamehe. Inawezekana inamaanisha 1) "Mungu atakusamehe" au 2 ) "watu watakusamehe."