# Msihukumu "Msihukumu watu" au "usimkosoe mtu" # na wewe "na kama matokeo yako" # hamtahukumiwa Yesu hakusema ambao wasingehukumu. Inawezekana maana ni 1) "Mungu hatakuhukumu wewe" au 2) "hakuna wa kukuhukumu wewe." # Msishutumu "Msishutumu watu" # Hamtashutumiwa Yesu hakusema ambaye angehukumu. inawezekana inamaanisha 1) "Mungu hatakushutumu wewe" au 2) "hakuna hata mmoja atakaye washutumu." # Nanyi mtasamehewa Yesu hakusema ambaye angesamehe. Inawezekana inamaanisha 1) "Mungu atakusamehe" au 2 ) "watu watakusamehe."