sw_tn/luk/06/37.md

24 lines
538 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Msihukumu
"Msihukumu watu" au "usimkosoe mtu"
# na wewe
"na kama matokeo yako"
# hamtahukumiwa
Yesu hakusema ambao wasingehukumu. Inawezekana maana ni 1) "Mungu hatakuhukumu wewe" au 2) "hakuna wa kukuhukumu wewe."
# Msishutumu
"Msishutumu watu"
# Hamtashutumiwa
Yesu hakusema ambaye angehukumu. inawezekana inamaanisha 1) "Mungu hatakushutumu wewe" au 2) "hakuna hata mmoja atakaye washutumu."
# Nanyi mtasamehewa
Yesu hakusema ambaye angesamehe. Inawezekana inamaanisha 1) "Mungu atakusamehe" au 2 ) "watu watakusamehe."