sw_tn/luk/06/31.md

500 B

Kama unavyotaka watu wakufanyie, ufanye hivyo kwao

Kwa baadhi ya lugha zingine inaweza kuwa uasilia zaidi kubadili amri: NI: "Uwafanyie watu sawasawa na unavyotaka watu wakufanyie."

Ni ujira gani kwenu?

"Ni dhawabu gani mtapokea?" au "Mtapokea sifa gani kwa kufanya hivyo?" Hii inaweza kuandikwa kama sentensi. NI: "Hamtapokea thawabu yeyote kwa hilo" au "Mungu hatawazawadia kwa hilo"

kurudisha kiasi kile kile

Sheria ya Musa iliamuru Wayahudi wasipokee riba kwa pesa waliyokopeshana.