sw_tn/luk/06/31.md

12 lines
500 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kama unavyotaka watu wakufanyie, ufanye hivyo kwao
Kwa baadhi ya lugha zingine inaweza kuwa uasilia zaidi kubadili amri: NI: "Uwafanyie watu sawasawa na unavyotaka watu wakufanyie."
# Ni ujira gani kwenu?
"Ni dhawabu gani mtapokea?" au "Mtapokea sifa gani kwa kufanya hivyo?" Hii inaweza kuandikwa kama sentensi. NI: "Hamtapokea thawabu yeyote kwa hilo" au "Mungu hatawazawadia kwa hilo"
# kurudisha kiasi kile kile
Sheria ya Musa iliamuru Wayahudi wasipokee riba kwa pesa waliyokopeshana.