sw_tn/luk/06/29.md

391 B

Kwa yeye akupigaye

"kama yeyote akupigaye"

katika shavu moja

"kwenye upande mmoja wa uso"

Mpe pia upande mwingine

Inasaidia kusema ambacho mshambuliaji atafanya kwa mtu. NI: "geuza uso wako kwamba aweza kupiga na shavu jingine pia"

Usizuie

"hapana kumzuia kuchukua"

Mpe kila mmoja akuombaye

"Ikiwa yeyote anakuomba kitu, mptie"

usimuulize

"usimwombe" au "usihitaji"