# Kwa yeye akupigaye "kama yeyote akupigaye" # katika shavu moja "kwenye upande mmoja wa uso" # Mpe pia upande mwingine Inasaidia kusema ambacho mshambuliaji atafanya kwa mtu. NI: "geuza uso wako kwamba aweza kupiga na shavu jingine pia" # Usizuie "hapana kumzuia kuchukua" # Mpe kila mmoja akuombaye "Ikiwa yeyote anakuomba kitu, mptie" # usimuulize "usimwombe" au "usihitaji"