sw_tn/luk/06/29.md

24 lines
391 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kwa yeye akupigaye
"kama yeyote akupigaye"
# katika shavu moja
"kwenye upande mmoja wa uso"
# Mpe pia upande mwingine
Inasaidia kusema ambacho mshambuliaji atafanya kwa mtu. NI: "geuza uso wako kwamba aweza kupiga na shavu jingine pia"
# Usizuie
"hapana kumzuia kuchukua"
# Mpe kila mmoja akuombaye
"Ikiwa yeyote anakuomba kitu, mptie"
# usimuulize
"usimwombe" au "usihitaji"