sw_tn/luk/06/27.md

32 lines
802 B
Markdown

# Sentensi Unganishi:
Yesu anaendelea kuzungumza kwa wanafunzi wake na vile vile na mkutano wanao msikiliza yeye.
# kwenu mnaosikiliza
Yesu sasa anaaza kuzungumza kwa hadhara yote, zaidi kuliko kwa wanafunzi wake tu.
# penda ... fanya mema ... Bariki ... omba
Katika kila amri hizi hufanyika kwa mwendelezo, siyo tu kwa mara moja.
# penda adui zako
Hii hainamaana unawapenda tu adui na siyo marafiki. Hii inaweza kusemwa. NI: "Wapende adui, siyo tu rafiki!" (UDB)
# penda ... fanya mema kwa
Virai viwili hivi vinamaana sawa, na kwa pamoja vinasisitiza hoja.
# Bariki ambao
Mungu ndiye abarikie. Hii inaweza ikadhihirisha. NI: "Omba Mungu kubariki hao" (UDB)
# ambao wanakulaani
"ambao wanatabia ya kukulaani"
# wale ambao wanakutendea mabaya
"wale ambao wanatabia ya kukutenda mabaya"