# Sentensi Unganishi: Yesu anaendelea kuzungumza kwa wanafunzi wake na vile vile na mkutano wanao msikiliza yeye. # kwenu mnaosikiliza Yesu sasa anaaza kuzungumza kwa hadhara yote, zaidi kuliko kwa wanafunzi wake tu. # penda ... fanya mema ... Bariki ... omba Katika kila amri hizi hufanyika kwa mwendelezo, siyo tu kwa mara moja. # penda adui zako Hii hainamaana unawapenda tu adui na siyo marafiki. Hii inaweza kusemwa. NI: "Wapende adui, siyo tu rafiki!" (UDB) # penda ... fanya mema kwa Virai viwili hivi vinamaana sawa, na kwa pamoja vinasisitiza hoja. # Bariki ambao Mungu ndiye abarikie. Hii inaweza ikadhihirisha. NI: "Omba Mungu kubariki hao" (UDB) # ambao wanakulaani "ambao wanatabia ya kukulaani" # wale ambao wanakutendea mabaya "wale ambao wanatabia ya kukutenda mabaya"