sw_tn/luk/06/27.md

802 B

Sentensi Unganishi:

Yesu anaendelea kuzungumza kwa wanafunzi wake na vile vile na mkutano wanao msikiliza yeye.

kwenu mnaosikiliza

Yesu sasa anaaza kuzungumza kwa hadhara yote, zaidi kuliko kwa wanafunzi wake tu.

penda ... fanya mema ... Bariki ... omba

Katika kila amri hizi hufanyika kwa mwendelezo, siyo tu kwa mara moja.

penda adui zako

Hii hainamaana unawapenda tu adui na siyo marafiki. Hii inaweza kusemwa. NI: "Wapende adui, siyo tu rafiki!" (UDB)

penda ... fanya mema kwa

Virai viwili hivi vinamaana sawa, na kwa pamoja vinasisitiza hoja.

Bariki ambao

Mungu ndiye abarikie. Hii inaweza ikadhihirisha. NI: "Omba Mungu kubariki hao" (UDB)

ambao wanakulaani

"ambao wanatabia ya kukulaani"

wale ambao wanakutendea mabaya

"wale ambao wanatabia ya kukutenda mabaya"