sw_tn/luk/06/20.md

20 lines
638 B
Markdown

# Ninyi mmebarikiwa
Kirai hiki kimerudia mara tatu. Kila mara ,kinaashiria kwamba Mungu huwapa neema watu fulani au kwamba hali zao ni chanya au nzuri.
# Mmebarikiwa ninyi mlio maskini
"Wale ambao ni maskini hupokea neema ya Mungu" au " ambao ni maskini hunufaika"
# Kwa maana ufalme wa Mungu ni wenu
Lugha ambazo hazina neno ufalme laweza sema, "Mungu ni mfalme wako" au "kwa sababu Mungu ni mtwala wako."
# Ufalme wako ni wa Mungu
"ufalme wa Mungu ni wako." Hii ingeweza kumaanisha 1) "umetokana na ufalme wa Mungu" au 2) Utakuwa na mamlaka katika ufalme wa Mungu."
# Mtacheka
"Mtacheka na kufurahia" au "Mtakuwa na furaha"