# Ninyi mmebarikiwa Kirai hiki kimerudia mara tatu. Kila mara ,kinaashiria kwamba Mungu huwapa neema watu fulani au kwamba hali zao ni chanya au nzuri. # Mmebarikiwa ninyi mlio maskini "Wale ambao ni maskini hupokea neema ya Mungu" au " ambao ni maskini hunufaika" # Kwa maana ufalme wa Mungu ni wenu Lugha ambazo hazina neno ufalme laweza sema, "Mungu ni mfalme wako" au "kwa sababu Mungu ni mtwala wako." # Ufalme wako ni wa Mungu "ufalme wa Mungu ni wako." Hii ingeweza kumaanisha 1) "umetokana na ufalme wa Mungu" au 2) Utakuwa na mamlaka katika ufalme wa Mungu." # Mtacheka "Mtacheka na kufurahia" au "Mtakuwa na furaha"