sw_tn/luk/06/20.md

638 B

Ninyi mmebarikiwa

Kirai hiki kimerudia mara tatu. Kila mara ,kinaashiria kwamba Mungu huwapa neema watu fulani au kwamba hali zao ni chanya au nzuri.

Mmebarikiwa ninyi mlio maskini

"Wale ambao ni maskini hupokea neema ya Mungu" au " ambao ni maskini hunufaika"

Kwa maana ufalme wa Mungu ni wenu

Lugha ambazo hazina neno ufalme laweza sema, "Mungu ni mfalme wako" au "kwa sababu Mungu ni mtwala wako."

Ufalme wako ni wa Mungu

"ufalme wa Mungu ni wako." Hii ingeweza kumaanisha 1) "umetokana na ufalme wa Mungu" au 2) Utakuwa na mamlaka katika ufalme wa Mungu."

Mtacheka

"Mtacheka na kufurahia" au "Mtakuwa na furaha"