sw_tn/luk/06/17.md

24 lines
703 B
Markdown

# Sentensi Unganishi:
Ingawa Yesu akiwaelekea hasa wanafunzi wake, walikuwapo watu wengi karibu ambao wanasikiliza.
# pamoja nao
"pamoja na kumi na wawili aliowachagua" au "pamoja na mitume wake kumi na wawili"
# waliponywa
Hii inaweza kusema katika kauli tendaji "kwa Yesu kuwaponya wao"
# waliokuwa wakisumbuliwa na roho wachafu pia walipona
Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. NI: "Yesu pia aliwaponya watu walisumbuliwa na roho wachafu."
# waliosumbuliwa na roho wachafu
"sumbuliwa na roho chafu" au waliotawaliwa na roho chafu"
# nguvu za kuponya zilikuwa zikimtoka
Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji NI: "alikuwa na nguvu kuponya watu" au "alitumia nguvu zake kuponya watu"