sw_tn/luk/06/17.md

703 B

Sentensi Unganishi:

Ingawa Yesu akiwaelekea hasa wanafunzi wake, walikuwapo watu wengi karibu ambao wanasikiliza.

pamoja nao

"pamoja na kumi na wawili aliowachagua" au "pamoja na mitume wake kumi na wawili"

waliponywa

Hii inaweza kusema katika kauli tendaji "kwa Yesu kuwaponya wao"

waliokuwa wakisumbuliwa na roho wachafu pia walipona

Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. NI: "Yesu pia aliwaponya watu walisumbuliwa na roho wachafu."

waliosumbuliwa na roho wachafu

"sumbuliwa na roho chafu" au waliotawaliwa na roho chafu"

nguvu za kuponya zilikuwa zikimtoka

Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji NI: "alikuwa na nguvu kuponya watu" au "alitumia nguvu zake kuponya watu"