sw_tn/luk/06/06.md

775 B

Sentensi Unganishi:

Waandishi na Mafarisayo wanatazama Yesu anaponya mtu siku ya Sabato

Taarifa kwa Ujumla

Hapa sasa ni siku ya Sabato nyingine na Yesu yuko kwenye Sinagogi.

Ilitokea

Kirai hiki kimetumika hapa kuzibgatia mwanzo wa tukio jipya katika masimulizi.

Mtu alikuwa pale

Hii inatambulisha mhusika mpya kwenye simulizi.

mkono wake umepooza

mkono wa mtu ambaye umepata umeadhirika kiasi ambachomhawezi kuunyoosha. Ulikuwa umejikunja kwenye eneo la ngumi, ikaufanya uonekane mdogo na wenye kupinda.

walikuwa wanamuangalia kwa karibu

"walikuwa wanamuangalia Yesu kwa makini"

ili waweze kupata

"kwa sababu walitaka kutafuta"

katikati ya kila mmoja

"mbele ya kila mtu" (UDB). Yesu alimtaka yule mtu kusimama ambapo kila mmoja angemuona.