# Sentensi Unganishi: Waandishi na Mafarisayo wanatazama Yesu anaponya mtu siku ya Sabato # Taarifa kwa Ujumla Hapa sasa ni siku ya Sabato nyingine na Yesu yuko kwenye Sinagogi. # Ilitokea Kirai hiki kimetumika hapa kuzibgatia mwanzo wa tukio jipya katika masimulizi. # Mtu alikuwa pale Hii inatambulisha mhusika mpya kwenye simulizi. # mkono wake umepooza mkono wa mtu ambaye umepata umeadhirika kiasi ambachomhawezi kuunyoosha. Ulikuwa umejikunja kwenye eneo la ngumi, ikaufanya uonekane mdogo na wenye kupinda. # walikuwa wanamuangalia kwa karibu "walikuwa wanamuangalia Yesu kwa makini" # ili waweze kupata "kwa sababu walitaka kutafuta" # katikati ya kila mmoja "mbele ya kila mtu" (UDB). Yesu alimtaka yule mtu kusimama ambapo kila mmoja angemuona.