sw_tn/luk/05/29.md

40 lines
1.2 KiB
Markdown

# Sentensi Unganishi
Chakulani, Yesu anazungumza na Mafarisayo na waandishi.
# Nyumbani mwake
"kwenye nyumba ya Lawi"
# walioketi mezani
Aina ya Kigiriki ya kula kwenye karamu ilikuwa kuegemea kochi na kujihimili peke yako kwa mkono wa kushoto kwenye baadhi ya mito ." au " "kwenye meza"kukaa mezani"
# kwa wanafunzi wake
"kwa wanafunzi wa Yesu"
# Kwa nini unakula ... kwa mtu mwenye dhambi?
Mafarisayo na Waandishi waliuliza haya kudhihirisha kutoridhishwa kwao kwamba Yesu na wanafunzi wake walikuwa wanakula na wenye dhambi. NI: "Huwezi kula na wenye dhambi!"
# mnakula na kunywa pamoja ... watu wenye dhambi
Mafarisayo na waandishi waliamini kwamba watu wa dini wanapaswa kujitenga na watu waliowaona kuwa ni wenye dhambi. Neno "wewe" ni wingi.
# Watu ambao ni wazima ... wagonjwa
Yesu anadhihirisha hii kama mithali.
# Tabibu
daktari atibuye " au" daktari"
# ni ambao wanaumwa tu
Maneno "inahitaji" yanaeleweka kutoka kirai kilichotangulia. NI: "ni wale wagojwa tu wanamwitaji"
# watu wenye haki
Baadhi ya watu walifikiri wanahaki. Yesu anarejea kwa hao kwa namna walivyofikiri kuhusu wao wenyewe ingawaje alijua kwamba hawakuwa wenye haki. NI: "watu wafikirio wanahaki"